NAOMBA MSAADA WAKO.


Mimi ninaitwa ANASTAZIA JONASI, Nina umri wa miaka 10 ninsoma darasa la tatu katika Shule ya msingi ORIA. Ninaishi na Bibi yangu ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa TB, nilianza kuishi na bibi yangu baada ya wazazi wangu kufariki na kuniacha niishi na bibi. Tangu bibi yangu aanze kuumwa Hawezi kufanya kazi na amekua akitegemea misaada toka kwa majirani. Nomba msaada wako ili nweze kusoma na kuishi kwa furaha kama wenzangu na niweze kumsaidia mdogo wangu pia. ASANTE.

No comments: